HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 11, 2019

KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES CHATANGAZWA

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman (Morocco) leo ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 40 cha Zanzibar Heroes kitakachokwenda Kampala nchini Uganda, kwenye Mashindano ya Cecafa Seniors Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza Disemba 1-19, 2019.

MAKIPA
Abdul-latif Said Masoud (Jamhuri) , Mohamed Abrahman (JKT TZ)  , Mohamed Muali (Polisi Tz) , Abdallah Rashid "Babu" (Ruvu Shooting) , Haji Juma "Chafu" (JKU) na Ahmed Ali "Salula" (Malindi).

WALINZI
Suleiman Said Juma (Zimamoto) ,Mohammed Othman Mmanga (Polisi Tz), Ibrahim Mohamed "Sangula" (KVZ), Mwinyi Haji Ngwali (KMKM), Juma Kukuti Adam (Polisi Tz), Ally Haji (Mwenge), Abdul Malik Adam (Mafunzo) na Ali Juma Maarifa (Malindi).

Wengine ni, Issa Haidar Dau (JKU) , Abdallah Kheir (Azam) 
, Ibrahim Ame Mohd (Coastal Union), Ally Ally (Yanga), Abubakar Ali (Mlandege), Ibrahim Hamad (Malindi), Agrey Morris (Azam) na Abubakar Ame "Luiz" (Malindi) 

VIUNGO
Abdul aziz Makame (Yanga), Abdul swamad Kassim (Kagera), Awesu Awesu (Kagera), Mudathir Yahya (Azam), Is haka Said (KMKM) , Adam Ibrahim "Edo" (KMKM) , Kassim Suleiman (Azam), Haroun Abdallah (Zimamoto), Feisal Salum (Yanga), Mohamed Issa (Yanga) , Mustafa Muhsin "Park" (Zimamoto) , Helefin Salum (Mlandege), Baraka Shaaban (Ruvu Shooting), Khalid Shaaban (Rich boys), Abdallah Hassan Nassor "Abal" (Polisi Tz) , Mohd Mussa (Mbeya City) , Mohamed Abdallah (Mlandege) na Ally Juma "Larson" (Mafunzo) 

WASHAMBULIAJI
Ibrahim Hamad "Hilika" (Zimamoto), Abdul nassir Asaa (Mlandege), Khamis Mussa "Rais" (Malindi), Said Salum "Etoo" (Kipanga), Ibrahim Abdallah "Imu Mkoko" (Malindi) na Mussa Ali Mbarouk (KMKM).

Mara ya mwisho kufanyika Mashindano hayo ilikuwa mwaka 2017 Machakos nchini Kenya ambapo Heroes walipata nafasi ya pili baada ya kukubali kufungwa na wenyeji wao Kenya.

No comments:

Post a Comment

Pages