
Promota wa masumbwi, Jay Msangi, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumpokea mpinzani wa bondia Hassan Mwakinyo, Mfilipino, Arnel Tinampay, aliyetua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam jana, tayari kwa pambano hilo litakalopigwa Novemba 29.
No comments:
Post a Comment