Na Mwandishi Wetu
MTENDAJI mkuu wa Klabu ya Azam FC, Abdulkarim Amin, “Popati” ameondoa utata juu ya uhalali wa usajili wa Ditram Nchimbi kuelekea Yanga sc.
Awali polisi Tanzania waliibuka na kudai kuwa bado wanamkataba wa mkopo na mchezaji huyo ambaye alikuwa mali ya Azam Fc kabla ya kupeleka kwao kwa mkopo mwanzo wa msimu.
Popati amethibitisha kuwa walifanya mazungumzo na uongozi wa Polisi Tanzania kabla ya kuridhiana na Yanga juu ya mshambuliaji huyo anayeonekana kuwa katika kiwango bora kipindi cha hivi karibu.
“kocha mpya alipokuja alimuhitaji kikosi, mimi personally nkazungumza nae lakini mchezaji akawa mgumu kurudi,basi nikamwambia aje tuongeze mkataba bado kwake ikawa ngumu na aliweka wazi dhamira yake ya kwenda Yanga”.
Amesema kuwa wachezaji kutoka kwa mkopo nchini Tanzania hakuna makubaliano ya kimkataba hivyo walipo pokea ofa kutoka Yanga walifanya mawasiliano na Polisi Tanzania kuwapa nafasi ya kwanza.
“wao walitujibu kwa sasa hawako tayari kumnunua Nchimbi mpaka mwisho wa msimu,sasa tukaona ataondoka bure mana mkataba wake umebakia miezi sita”.
“kwakuwa bado ni mchezaji wetu na mara nyingi tukitoa wachezaji wetu kwa mkopo stahiki zote tunazihudumia sisi,yeye anakwenda kucheza tu hivyo tukaamua”.

No comments:
Post a Comment