HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 02, 2019

STANBIC YAIPIGA TAFU TASWA FC

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Stanbic Tanzania, Desideria Mwegelo, akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya waandishi wa habari (TASWA FC), Zahoro Mlanzi, katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam. Hii ni hatua ya mwanzo kuelekea mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu kati ya benki ya Stanbic na TASWA FC inayotarajia kufanyika Januari 2020.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Stanbic Tanzania, Desideria Mwegelo, akimkabidhi jezi, Meneja wa timu ya waandishi wa habari (TASWA FC), Hussein Omari, katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages