Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akitoka kwenye hafla ya makabidhiano ya nyumba za askari wa magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam, ambayo ilikuwa kazi yake ya mwisho kama waziri wa wizara hiyo jana, baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wake. (Na Mpiga Picha Wetu).
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na
Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania, Thobiasi Andegenye, wakati wakitoka kwenye hafla ya
makabidhiano ya nyumba za askari wa magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam, ambayo ilikuwa kazi yao ya mwisho, baada ya Rais John Magufuli
kutengua uteuzi wao.
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania, Thobias Andengenye wakati wakitoka kwenye hafla ya
makabidhiano ya nyumba za askari wa magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam, ambayo ilikuwa kazi yao ya mwisho, baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wao.
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na waandishi wa habari mara baada Rais John Magufuli kutengua uteuzi wake.
No comments:
Post a Comment