Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akitoka Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), jijini Dodoma leo baada ya kuhojiwa. (Na Mpiga Picha Wetu).
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akijiandaa kupanda gari lake baada ya kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), jijini Dodoma. (Na Mpiga Picha Wetu).
Aliyekuwa
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiwasili katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(TAKUKURU), jijini Dodoma. (Na Mpiga Picha Wetu)
No comments:
Post a Comment