HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 24, 2020

KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO WAZINDUA GAZETI LAO JIPYA 'SAUTI KUU' JIJINI DAR

 Askofu mkuu wa Kanisa la  Waadventista Wasabato jimbo la Kusini mwa Tanzania (Southern Tanzania Union STU) Mchungaji Mark W Malekana akitambulisha gazeti la Sauti Kuu linalomilikiwa na kanisa hilo kwa waandishi wa habari  (hawapo Pichani) jana Januari 23,2020.Utambulisho wa gazeti hilo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya jimbo yaliyopo  Mbweni jijini Dar es Saalam.
Askofu mkuu wa Kanisa la  Waadventista Wa Sabato jimbo la Kusini mwa  Tanzania Mch. Mark Malekana (wa tatu kulia) akiwa na viongozi wa Shirika la Vyombo vya habari vya Kanisa hilo (TAMC) wakiwa na nakala za Gazeti la Sauti Kuu, lililotambulishwa  kwa waandishi wa Habari mapema Jana Januari 23,2020 . Kutoka kushoto ni Reuben Mbonea (Mhazini), Mch. Christopher Ungani (Mkurugenzi mkuu) na  Hosiana Mwasomola (wa kwanza kushoto, Mkurugenzi Mwenza).Utambulisho wa gazeti hilo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya jimbo yaliyopo  Mbweni jijini Dar es Saalam.

No comments:

Post a Comment

Pages