Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika hafla ya utiaji saini
wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji
wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa
kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

Rais wa kampuni ya Barrick Dkt.
Mark Bristow akizungumza mbele ya Rais Dkt.
John Pombe Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya
kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya
Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga,
Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam. Januari 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa kampuni ya Barrick
Dkt. Mark Bristow katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya
kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya
Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga,
Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam. Januari 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya
makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati
ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya
ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
Waziri wa Madini Mhe. Dotto
Biteko akikidhiana mikataba na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow
iliyosainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika hafla utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa
pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na
Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa
na hisa ya asilimia 16 Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

Biteko akiwa na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow wakionyesha
Mikataba iliyosainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya
kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya
Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga,
Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24,
2020.

Wageni waalikwa wakipiga makofi
mara baada yay a hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha
kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania
na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali
itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari
24, 2020. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment