HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 24, 2020

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020.
 Wanachama wa CCM wakimshangilia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wajumbe wa kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages