Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Uwekezaji wa Norway (Norfund),
Bw. Tellef Thorleifsson akizungumza na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati
alipomtembelea ofisini kwake na kufanya nae mazungumzo leo jijini Dar es Salaam
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Uwekezaji
wa Norway (Norfund), Bw. Erik Sandersen akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb) (hayupo pichani) wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake na kufanya nae mazungumzo
leo jijini Dar es Salaam
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi
(Mb) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Uwekezaji wa Norway (Norfund), Bw. Tellef
Thorleifsson katika ofisi ndogo za wizara jijini
Dar es Salaam
Balozi wa Norway nchini, Mhe. Baalozi, Ms. Elisabeth Jacobsen akifafanua
jambo mbele ya Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Uwekezaji wa Norway (Norfund), Bw. Tellef Thorleifsson
No comments:
Post a Comment