Na Magreth Mbinga, Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Elimu na Teknolojia Mh.William Ole Nasha amesema kwa mwaka
2019 nchi ya Tanzania imeingiza kiasi cha dola Million 2.4 katika sekta
ya utalii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga semina ya siku
mbili iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Utalii katika Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano JNICC jijini Dar es Salaam.
Aidha Ole Nasha amevitaka vyuo vyote vinavyotoa elimu ya utalii kufundisha ukalimu na utii kwa wanafunzi wao
"Wakufunzi
wote wanatakiwa kutoa elimu ya ukalimu na utii kwa wanafunzi wao mbali
na elimu yao ya utalii kwa ukarimu wao kutavutia watalii kufika kwa
wingi nchini kwaajili ya kufanya utalii". anasema Olenasha.
No comments:
Post a Comment