Msajili
wa Hazina, Athumani Mbuttuka, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za
Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo
jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Adadi Rajabu akifafanua jambo wakati wa
kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti, leo jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, akichangia hoja katika kikao cha pamoja kati
ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bajeti leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Picha kwa hisani ya Kitengo cha Habari, Ofisi ya Msajili wa Hazina.
No comments:
Post a Comment