HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 08, 2020

SERIKALI YAIPONGEZA TTCL KWA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Vodacom kwa ruzuku ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kijiji cha Idodi mkoani Iringa. Kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba na kushoto kwake ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom, Ezekiel Nungwi.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wanakijiji wa Isoliwaya (hawapo pichani) wilayani Kilolo, Iringa kabla hajazindua mnara wa mawasiliano. Wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba na wa pili kushoto ni Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba akizunguza na wanakijiji wa Isoliwaya wilayani Kilolo, Iringa (hawapo pichani) kabla ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kulia) kuzindua mnara wa mawasiliano kijijini humo.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Hapiness Seneda (wa pili kushoto) alipofika ofisini kwake kabla ya ziara ya kuzindua minara ya mawasiliano mkoani humo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Dkt. Joseph Kilongola na wa tatu kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko huo, Justina Mashiba.

No comments:

Post a Comment

Pages