Tume
ya Madini inaendelea kutoa huduma kwa kasi kwa wadau wa madini nchini
lengo likiwa ni kuhakikisha Sekta ya Madini inakuwa na mchango mkubwa
kwenye ukuaji wa Sekta ya Madini Nchini, najisikia fahari kuwa sehemu ya
watumishi katika Taasisi hii, tuendelee kuunga mkono juhudi
zinazofanywa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John
Magufuli na Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko kwenye Usimamizi wa Sekta
ya Madini"

Ofisa wa Fedha Tume ya Madini, Saada Karabaki.
No comments:
Post a Comment