HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 03, 2020

UTT-AMIS YATOA ELIMU JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASTAAFU WATARAJIWA WA TRA

Mkurugenzi wa Uwekezaji wa UTT AMIS,  Pamela Nchimbi, akitoa darasa juu ya Uwekezaji wa Pamoja katika semina iliyoandaliwa na IMED kwa wastaafu watarajiwa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa semina ya Uwekezaji wa Pamoja wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uwekezaji wa UTT AMIS,  Pamela Nchimbi (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa UTT AMIS,  Pamela Nchimbi, akitoa darasa juu ya Uwekezaji wa Pamoja katika semina iliyoandaliwa na IMED kwa wastaafu watarajiwa wa TRA jijini Morogoro.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Uwezeshaji (UTT-AMIS), Daud Mbaga, akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyakazi wa TRA mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Pages