HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 08, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages