Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma,
Renatus Mathias, akizungumza wakati wa mafunzo ya siku moja ya
kuwajengea uwezo wauguzi na matatibu kutoka zahanati na vituo vya Afya
mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo ikiwa ni mkakati wa Hospitali hiyo
kupunguza vifo vya akina mama wajawazito wakati wa kujifungua,watoto
wachanga na walio chini ya umri wa miaka mitano,katikati Mganga Mkuu wa
wilaya hiyo Dkt Wendy Robert na kulia afisa lishe wa wilaya Martha
Kibona.
Mganga Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Wendy Robert
katikati na Muuguzi Mkuu wa wilaya hiyo Renatus Mathias wa nne kutoka
kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi waliopata
mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya mkakati wa wilaya hiyo katika
kupunguza vifo vya mama wajawazito,watoto wachanga na walio chini ya
umri wa miaka mitano. (Na Mpiga Picha Wetu).
No comments:
Post a Comment