HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 19, 2020

WILAYA YA MLELE KUANZA KUNUNUA MAZAO YA WAKULIMA

 Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Rechal Kassanda, akitoa taarifa kuhusu kuanza kazi ya ununuzi wa mazao ya wakulima katika msimu wa mwaka 2020 ambapo  wilaya hiyo yenye Halmashauri mbili ya Mlele na Mpimbwe imetenga jumla ya vituo 80 kwa ajili ya kununulia mazao. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages