Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake
Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020,
Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani
Geita.

akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga
mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia
leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. (PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment