Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia
hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise
Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa
ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu
Nkurunziza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre
Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu
Nkurunziza Jijini Bujumbura jana jioni kwa
ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza
ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika
kipindi hiki cha maombolezo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza
na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre
Nkurunziza wa Burundi walipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa
ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu
Nkurunziza ambapo wamemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira
katika kipindi hiki cha maombolezo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa
katika picha ya pamoja na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi baada ya kuitembelea
na kuifariji familia hiyo jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Mjane na
Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi alipofika nyumbani
kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura
Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo
mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa
uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa
ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu
ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika
kipindi hiki cha maombolezo.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akitia
saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani
kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura
Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo
mjane na watoto wa marehemu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiagana
na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre
Nkurunziza wa Burundi baada ya kuwafariji walipotembelea nyumbani kwa marehemu Nkurunziza
Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment