HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 16, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16,2020 ameshiriki Shughuli  ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.





No comments:

Post a Comment

Pages