HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 12, 2020

Mkutano wa wakuu wa Takwimu wa Nchi za SADC wafanyika kwa njia ya video.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa wajumbe kutoka NBS, akiongoza kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki ya takwimu za nchi hizo, kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.
 Wajumbe wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika kikao hicho kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.
 Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kikao cha wakuu wa takwimu kwa nchi za SADC, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages