HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 10, 2020

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages