HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2020

BENKI YA CRDB KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA MSIMU WA SABASABA 2020

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Sabasaba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mary Mwaisoloka, alipotembelea banda la Benki ya CRDB.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanua jambo alipotembelea alipotembelea banda la Benki ya CRDB. Kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Mary Mwaisoloka.     


  Waziri Mkuu akipata maelezo katika banda la Benki ya CRDB.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Inocent Bashungwa, wakipata maelezo juu ya uwezeshaji wa wafanyabiashara katika msimu wa Sabasaba kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa ufgunguzi wa Maonesho ya Sabasaba. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza na waandishi wa habari ndani ya banda la Benki ya CRDB juu ya uwezeshaji wa wafanyabiashara katika msimu wa Sabasaba.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akisaini kitabu cha wageni.


 
Baadhi ya wateja wakipata huduma.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Elizabeth Kikoito.

Baadhi ya wateja wakipata huduma.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages