HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 28, 2020

HAFLA YA KITAIFA YA VIONGOZI WAKUU KUUAGA MWILI WA RAIS MSTAAF WA AWAMU YA TATU WA TANZANIA BENJAMIN MKAPA

Baadhi ya Wananchi wa kutoka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania wakishiriki katika hafla ya kuuaga Mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willian Mkapa, iliofanyika Kitaifa leo  katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam  28/7/2020.(Picha na Ikulu).
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages