Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni za CHADEMA.
Mgombea ubunge jimbo la Meatu, Jonston Luzinkya (kulia), akifuatilia mkutano wa kampeni jimboni humo.
Wagombea ubunge jimbo la Meatu.
Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Meatu, Jonston Luzinkya, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Stendi.
Mgombea ubunge jimbo la Meatu, Jonston Luzinkya, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Stendi.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiondoka katika eneo ulipofnyika mkutano wa kampeni jimbo la Meatu mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment