HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 24, 2020

CHADEMA KUONDOA USHURU WA NG'OMBE

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Mhe. Salum Mwalimu, akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020. Mgombea huyo ametoa ahadi ya kuondoa ushuru wa ng'ombe endapo watapata ridhaa ya kuongoza nchi.

Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Mhe. Salum Mwalimu, akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020.

Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Mhe. Salum Mwalimu, akiteta jambo na  mgombea ubunge jimbo la KisesaFrancis Masanja, kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa magharani jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti, Gimbi Masaba, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA,, Mhe. Salum Mwalimu, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA.

Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020.

 Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu Septemba 23, 2020.
 Gerva Lyenda ambaye ni Katibu wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Salum Mwalimu, akitoa maelekezo kwa vijana wa harambee.
  Vijana wa harambee wakipiti kukusanya michango ya fedha.
Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Mgombea ubunge jimbo Kisesa, Francios Masanja, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Magharani mkoani Simiyu.
Wagombea udiwani jimbo la Kisesa.
 

No comments:

Post a Comment

Pages