Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu (katikati), akiwa na viongozi wa CHADEMA kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Lagangabilili jimbo la Itilima mkoani Simuyu Septemba 23, 20202.
Mgombea Mwenza
wa
Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akivishwa vazi la asili kabla ya kuanza kuhutubia mkutano wa
kampeniuliofanyika leo Septemba 23, 20202 katika kijiji cha Lagangabilili jimbo la Itilima
mkoani Simuyu.
Kuchangia chama.Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum
Mwalimu, akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji cha Lagangabilili jimbo la Itilima
mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 23, 2020 katika
kijiji cha Lagangabilili mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment