Kimeeleweka,
Ile Dhamira ya Kuijenga Zanzibar mpya yenye Tija na Uchumi imara sasa inafikia kilele.
Mgombea Urais wa CCM Dr. Hussein Mwinyi mapema leo amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya urais Zanzibar na Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji Msataafu Hamid Mahmoud Hamid ameipokea.
#KwaUmojaKaziIendelee
Cc: @dr.hmwinyi @fanikisha_ushindi @uvccm_zanzibar @uvccm_tz @ccm_tanzania @ccm_zanzibar
No comments:
Post a Comment