Mwakilishi
wa tasisi ya HAK nchini Tanzania, Shaban Mlongakweli akitoa mafunzo kwa
wananchi wa Rufiji kabla ya kukabidhi mifugo ya mbuzi kwa wananchi hao,
ikiwa no njia ya kuboresha uchumi wao. Mbuzi ha wametolewa na tasisi ya
haki kwa kushirikiana na taasisi ya Top Change Epowerment Foundation za
nchini Uturuki. (Na Mpiga Picha Wetu).
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment