HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 21, 2020

Mgombea Mwenza CHADEMA ahutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mwibara

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 20, 2020.

Wananchi wakishangilia wakati Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwibara.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mwibara, Mtamwega Mahendeka.
Wananchi wakisikiliza sera za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiagana na mgombea ubunge jimbo la Mwibara, Mtamwega Mahendeka baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni jimboni humo.
 

No comments:

Post a Comment

Pages