Mgombea ubunge jimbo la Tarime Mjini, Esther Matiko, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Serengeti Tarime Mjini Oktoba 21, 2020.
Wakazi wa Kata ya Sabasaba bila kujali mvua wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Serengeti jimbo la Tarime Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akisalimiana na kada wa chama hicho Mzee Neto Sasi mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Serengeti Tarime Mjini Oktoba 21, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akipokelewa na umati wa watu wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa Kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyakato Musoma Mjini Oktoba 21, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Mara, Charles Kayele, mara baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Serengeti, Tarime Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akifurahia jambo na mgombea mbunge jimbo la Musoma Mjini, Julius Mwita kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyakato Musoma Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akisalimiana akiwanadi wagombea ubunge wa kata mbalimbali katika jimbo la Musoma Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Musoma Mjini, Julius Mwita.
Kusikiliza sera za mgombea Mwenza wa CHADEMA.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Nyakato Musoma Mjini
Umati wa watu ukishangilia wakati wa mkutano wa kampeni jimbo la Musoma Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Nyakato Musoma Mjini.
No comments:
Post a Comment