HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 06, 2020

WAKAZI WA NDANDA WASIMAMISHA MSAFARA WA MGOMBEA MWENZA KUPITIA CHADEMA WAKATI AKIELEKEA MASASI KATIKA MKUTANO WA KAMPENI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwasalimia wakazi wa Ndanda waliosimamisha msafara wake leo Oktoba 6, 2020 wakati akielekea Masasi mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwaaga wakazi wa Ndanda waliosimamisha msafara wake leo Oktoba 6, 2020 wakati akielekea Masasi mkoani Lindi. 

 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Msambiati jimbo la Mtwara Vijijini.
Mgombea ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Idrisa Mtuma, akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Msimbati mkoani Mtwara leo Oktoba 6, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwanadi wagombea udiwani jimbo la Mtwara Vijijini.
Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtwara Vijijini.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa CHADEMA Kijiji cha Msambiati Mtwara Vijijini.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa CHADEMA katika Kijiji cha Msambiati Mtwara Vijijini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akipiga makofi baada ya kufungua tawi la CHADEMA katika Kijiji cha Msambiati Mtwara Vijijini.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la Mtwara Mjini.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew, akizungumza jambo na
mgombea ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Idrisa Mtuma.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, aakihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mtwara Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mtwara Mjini, Tunza Malapo.

No comments:

Post a Comment

Pages