Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji (katikati), akipokea
zawadi kutoka kwa Mhazini wa Benki ya NMB - Aziz Chacha kwenye banda la
benki ya NMB lililopo nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Benki
ya NMB ipo kwenye Viwanja vya baraza la wawakilishi zanzibar kutoa
ushauri, elimu na huduma za kibenki kwa waheshimiwa wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi ambao wiki hii wameanza safari ya kuwakilisha wananchi kwa
miaka mitano ijayo.
Mwakilishi wa jimbo la Mtoni Zanzibar, Hussein Ibrahim Makungu akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la benki ya NMB lililopo nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Benki
ya NMB ipo kwenye Viwanja vya baraza la wawakilishi kutoa ushauri,
elimu na huduma za kibenki kwa waheshimiwa wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi.
No comments:
Post a Comment