HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2020

WANAZUONI CHUO KIKUU MZUMBE WAKUTANA MOROGORO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka (katikati), akiwasili katika Mkutano wa 20 wa wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe uliofanyika Novemba 19, 2020 Mjini Morogoro. Chuo hicho leo kinafanya mahafali ya 19.
Baadhi ya wahitimu na wanazuoni wa ngazi mbalimbali wa Chuo Kikuu Mzumbe wakiwa katika mkutano huo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza katika mkutano wa 20 wa wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe uliofanyika Novemba 19, 2020 Mjini Morogoro.
Wahitimu na wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe wakiwa katika mkutano.


Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano wa 20 wa wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe akiongoza mkutano huo. 
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akitoa ufafanuzi wakati wa mkutano wa wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Mary Mushi akipokea cheti cha mwanafunzi bora kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, akimkabidhi cheti mwanafunzi aliyefanya vizuri, Ally Mketo.
Baadhi ya wahitimu.





Muonekano wa jengo jipya la Chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka (katikati), akiongoza msafara wa wahitimu na wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe kuangalia maendeleo ya ujenzi wa hosteli mpya pamoja na madarasa mapya katika eneo la Mahekani mkoani Morogoro.



Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka (kulia) akifafanua jambo kwa wanazuoni wa Chuo Kikuu Mzumbe walipotembea jengo la madarasa mapya.







No comments:

Post a Comment

Pages