Baadhi ya Wakurugenzi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wakipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Abdulkarim Majuto, kuhusu hatua zinazoendelea katika ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi (JPM Bridge) lenye urefu wa kilometa 3.2, mkoani Mwanza.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Sekta ya Ujenzi, Mhandisi Emmanuel Raphael, akifafanua jambo wakati baadhi ya watumishi wa Sekta hiyo walipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi (JPM Bridge) KM 3.2, Mkoani Mwanza.
Muonekano wa ujenzi wa Daraja la muda la Kigongo – Busisi lililokamilika kwa asilimia 95. Mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment