HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 14, 2021

SIMBA MATUMAINI KIBAO IKIVAANA NA KAIZER CHIEFS

"Tuko tayari kuipambania timu yetu na kupata matokeomazuri."- Nahodha John Bocco kuelekea mchezo wa kesho wa robo fainali ya #TotalCAFCL dhidi ya Kaizer Chiefs.

  

Wachezaji wa Simba wakiwa katika mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezi wao wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (Muda wa mazoezi ya kujiandaa na robo fainali ya (TotalCAFCL).


"Hii ni Ligi ya Mabingwa, tunatarajia mchezo mgumu kesho hasa sababu tupo ugenini lakini hatutaki kuzuiliwa. Kaizer Chiefs ni timu kubwa hatuwezi kuidharau lakini tupo tayari kupambana."- Kocha Didier Gomes kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Kaizer Chiefs.

 

No comments:

Post a Comment

Pages