Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo.
Na Asha Mwakyonde, Dar es Salaam
NCHI saba za kigeni na kampuni 76 kutoka katika nchi hizo zinashiriki kwenye Maonyesho ya 45 Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), ambayo yameanza jana na kufunguliwa rasmi Julai 5 mwaka huu.
Pia Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ( Tan Trade), tayari imeshakamilisha maandalizi ya Maonyeshoya hayo.
Akizungumzia jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi saaa jumla ya washiriki zaidi ya 3000 wanashiriki na kwamba washiriki hao ni pamoja na makampuni ya ndani.
"Nitoe wito kwa kampuni, taasisi za Umma na buashara kujitokeza kwa wingi kutunia fursa hii muhimu kujitangaza kibiashara," anesema.
Waziri huyo ameongeza kuwa Tan Trade inaendelea kushirikiana na sekta ya Umma na binafisi ili kufanikisha maandalizi ya Maonyeshoya hayo.
Amewashukuru wadau mbalimbali kwa kusndelea kushiriki Maonyesho hayo na baadhobyq kamupuni zilizodhamini ni pamoja na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Shirika la Bima la Taifa(NIC), Benki ya CRDB. King Lion Investment, Africa Media Group , Mikoani Traders (Azania Group of Companies,MIC ,Tigo, Vodacom.
Ameongeza kuwa mwaka huu wa 2021 moonesho hayo yanatimiza Mika 45 tangu yalipoanzishwa na kwamba kutakuwa na mitaa maalumu kama vile mtaa wa kilimo , madini Viwanda vidogo wajasiriamali wadogo na wasanii
No comments:
Post a Comment