Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Narcis Choma (kushoto), wakati akikagua ujenzi wa daraja dogo katika mradi wa uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa naurefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Asa Makanika.
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Narcis Choma, akitoa maelezo ya ujenzi wa daraja dogo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, katika mradi wa uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Asa Makanika.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Asa Makanika akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, wakati Naibu waziri huyo akikagua mradi wa uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake.
Muonekano wa sehemu ya uanzishwaji wa barabara mpya ya Mwandiga hadi Chankere mkoani kigoma inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 65 baada ya kukamilika kwake. PICHA NA WUU
No comments:
Post a Comment