HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 16, 2021

NEC YATOA MAFUNZO JIMBO LA KONDE ZANZIBAR

 Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mawazo Bikenye akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021. (Picha na NEC). 


Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Michael Simba, akitoa mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo ambao wanapatiwa mafunzo kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba unaotaraji kufanyika Jumapili Julai 18,2021. (Picha na NEC). 



No comments:

Post a Comment

Pages