HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 02, 2021

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA RAIS KAGAME IKULU KIGALI

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda Ikulu Kigali Nchini Rwanda leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia ameanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili Nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais Kagame. Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages