HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 17, 2021

KUELEKEA MAADHMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA DK. ASHATU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 

 

Mkurugenzi idara ya habari Maelezo, Zamaradi Kawawa, akimkalibisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji, kuzungumza na waandishi wa habari katika maadhimsho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma jana. Picha na Deus Mhagale.

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji, akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimsho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mariamu  Chaula na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dtk. Jimmy Yonas, wakijadiliana jambo katika mkutano huo.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mariamu Chaula na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dtk. Jimy Yonas, wakifurahia baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari.Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Golshon Msigwa, akitoa taarifa kwa waziri tangu jana ni wizara ngapi zimeongea.

No comments:

Post a Comment

Pages