HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 09, 2021

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JIJINI DODOMA


Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii Sensa ya Watu Ruthi Minja, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa uchumi, mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake jijini Dodoma leo Novemba 9, 2021. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Uchum, Daniel Masolwa na Mchumi kutoka Benki Kuu Sia Shayo. (Picha na Deus Mhagale). 

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Felchesmi Mramba, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akizungumzia Wizara ya Nishati katika miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani,George Simbachawene ndani ya ukumbi wa bunge Kushoto ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew,akijibu baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa bungeni.


Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, akizunguymza na wabunge nje ya ukumbi wa bunge wakati wa kipindi cha mapumziko.

No comments:

Post a Comment

Pages