HABARI MSETO (HEADER)


January 30, 2022

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohame Shein amezindua Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa CCM

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa CCM.


 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwasilisha salamu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT), katika sherehe za Ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwehe Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.


Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akizungumza wakati wa sherehe za   Ufunguzi wa  maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM iliyofanyika katika viwanja vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.


 



No comments:

Post a Comment

Pages