Mhadhiri wa Sheria
wa Sheria wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, Arohibald Kiwango
(kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika banda la Mahakama
hiyo lililopo katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini, alisema chuo
hicho kilianzishwa mwaka 1998 kinachukua wananchi wote wenye kukidhi
viwango vilivyowekwa na chuo hicho na wafanyakazi wa mahakama nchini.
Mhadhiri huyo amewaomba watanzania kujitokeza kwenda kusoma katika chuo
hicho. Picha na Deus Mhagale.
Afisa Udahili wa Chuo hicho Magdalena Mlumbe (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari akielezea utaratibu unaofanywa na uongozi wa chuo hicho hadi wanafunzi wanapatikana na kuanza masomo.
Afisa Uhusiano wa Chuo hicho, Rosena Suka (kushoto), akifafanua jambo kwa wanahabari.
No comments:
Post a Comment