HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2022

Rais Samia awasili mkoani Geita




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022. Picha na Ikulu.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages