HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2022

Rais Samia ahutubia Jubilee ya miaka 25 ya Utumishi wa Uaskofu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara Severine Niwemugizi, Ngara mkoani Kagera


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali wa dini katika Sherehe za kumpongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, pamoja na Maaskofu wengine kutoka majimbo mbalimbali Katoliki nchini, na nje ya nchi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Pages