HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2022

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura (kushoto), wakati alipokuwa anawasili kuzungumza na Wajumbe wa Bodi hiyo, Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura, na wapili kulia ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John MassawePicha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Pages