HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 02, 2022

WASTAAFU NA WATEGEMEZI WA NSSF WAWEKEWA UTARATIBU MZURI WA UHAKIKI

 Meneja Usimamizi wa Mafao wa NSSF, James Oigo, akizungumza na waandishi wa  habari kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi. Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF,  Lulu Mengele na  Kushoto ni Meneja Malipo  ya  Pensheni wa NSSF, Nancy Mwangamila.

Meneja Malipo  ya Pensheni wa NSSF,  Nancy Mwangamila, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi lililoanza tarehe 1 Februari, 2022 hadi Aprili 29, 2022.







No comments:

Post a Comment

Pages