HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 02, 2022

Waziri wa Madini wa Zimbabwe na ujumbe wake watua Dodoma



Waziri wa Madini Doto Biteko, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuzungumza na ujumbe wa Zimbabwe unaoongozwa na Waziri wa Maendeleo ya  Madini, Wilson Chitandoo (kulia), kuhusu kubadilishana uzoefu katika sekta ya madini ambayo Tanzania imepiga hatua kubwa kunufaisha nchi na wananchi wake. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofini kwake Mtumba jijini Dodoma leo. Picha na Deus Mhagale.


Waziri wa Madini Doto Biteko na Mwenzake wa Zimbabwe,Wilson Chitandoo (kulia) wakaifuatilia majadiliano kwa njia ya mtandao kutoka Zimbabwe.
Baadhi ya maofisa wa Wizara ya Madini nchini, wakifuatilia majadiliano hayo.
Waziri wa Maendeleo ya  Madini wa Zimbabwe, Wilson Chitandoo (kulia) akizungumza katika majadiliano hayo.
Maofisa wa Nchizote mbili wakiwa katika majadiliano



Mawaziri wakipiga picha ya pamoja na maofisa wao baada ya kumalizika majadiliano hayo.

Waziri Biteko na Naibu wa Wizara hiyo Dkt. Stephin Kiruswa wakiagana na ujumbe huo unaoongozwa na Wilson Chitandoo (kushoto).

No comments:

Post a Comment

Pages